April 09, 2010

HERI WAZAZI WANAOKULEA CAMILLA T.K!

CAMILLA T.K
Umekaa umetuliya,
kazi zako jifanyiya,
mafunzo shikiliya,
Camilla nakushangliya,
mwana kujifuniya
baba na mama fikiriya,
malezi kushikiliya,
mema kujivuniya,
makuzi yasikurabiya.

Heri baba alinaekulea na heri mama anayekulea

Camilla, bado kazi moja ya kulima maana sijui (?) kama umeshaanza. Ila usilalamike sana, ungekuwa kipindi hiki Bongo kuna kiubaridi ambacho kingekufanya uache kushinda ndani ya maji kama samaki...Lol..
Heri wazazi wanaokulea, heri kwao kukupatia malezi bora,kazi kujifunzia na mengineyo mema. Love you Baby Gal

4 comments:

 1. Jamani kabinti ni kazuri haka.....
  Hongera mama mzaa chema.
  Na ninaamini mungu atakubariki ukue kwa umri na kimo uwe mwanaharakati kama mama yako.....LOL

  ***Like Motheer like Daughter***

  ReplyDelete
 2. Nyota njema huonekana asubuhi,na mtoto umleavyo ndio akuavyo,hakika wazazi wa huyu binti wanastahili pongezi,mungu aendelee kuwaongoza kwa kila jambo.

  love you Camila
  xx!

  ReplyDelete
 3. mm nampongeza sn mama yake anavyo walea wanae nikama mm nilivyo lelewa mungu awape umri mrefu na furaa heshima na upendo utawale ndani mwenu

  Liliy

  ReplyDelete

Maoni yako