October 27, 2012

NYUMBANI LUNDU

Picha hii inaonyesha maeneo ya kijiji cha Lundu. Maeneo hayo ni mtaa wa Maliwa au Missionari, na wka upande wa magharibi kushoto unaonekana mlima ambao unaitwa Chipyaghela. Kisha maji ya ziwa Nyasa yanaonekana. Huu ndio mji ulionikuza na kunilea, katika mitaa yangu ya Maliwa, au missionari.
Picha hii imepigwa na kaka Egbert Jeremy aliyeko wilaya ya Nyasa katika shughuli za ujenzi wa miundo mbinu. Lundu ni miongoni mwa vijiji ambavyo anaendelea kujenga miundombinu ya wilaya hiyo. Karibuni kuwekeza wilaya ya Nyasa ambayo imeanza kutoa fursa mbalimbali. KARIBUNI NYASA

2 comments:

  1. Shukrani kwa picha hii na taarifa. Inanikumbusha mbali. Nimefika Nkili (ambayo ni karibu na nyumbani Litembo). Mbamba Bay nimefika mara kadhaa. Mara ya kwanza tulipitiliza tukapita Liuli na kuishia Mango.

    ReplyDelete
  2. NIMEPENDA PICHA HII..INA KUMBUKUMBU NYOINGI ahsante

    ReplyDelete

Maoni yako