Pichani ni sehemu ya mji wa KITAI. Mahali hapo ni makutano ya barabara za Songea-Mbinga,
Mbinga-Lituhi, Songea-Lituhi, mkoani Ruvuma ambapo kunajengwa Kituo cha
usambazaji wa umeme vijijini (REA). Hilo eneo kushoto, na upande wa kusini ni
tambarare na ambalo halikumbwi na mafurikio. Panafaa sana kufungua mradi wa
uwekezaji hapa ni kiunganishi cha wilaya tatu za Mbinga, Songea na Nyasa. Sifa yake kubwa ni kuzikutanisha wilaya hizo na kuwa eneo la katikati katika kupata huduma za kibiashara n.k
No comments:
Post a Comment
Maoni yako