Usistaajabu kwani nimeondoka kidogo nyasa na kuingia mjini hapa na kukutana na picha hii muhimu sana kwa watu wa Ruvuma na wanyasa wote.Sina mengi ila tumshukuru kaka Richard Mwakienda kwa picha hii
June 05, 2008
Lizombe Limeumana hapa utasema nini
Usistaajabu kwani nimeondoka kidogo nyasa na kuingia mjini hapa na kukutana na picha hii muhimu sana kwa watu wa Ruvuma na wanyasa wote.Sina mengi ila tumshukuru kaka Richard Mwakienda kwa picha hii
Madhumuni
Hisia za moyo,
mila na desturi,
uzuri
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
hapa bwana ndio umenifikisha kwani binafsi napenda sana ngoma za asili na pia hivi nisemavyo ninamsikiliza ndugu yetu bwana Adelgot J Haule nadhani unamjua safi sana. nipe habari zaidi za Ruvuma
ReplyDelete