Showing posts with label kumbu. Show all posts
Showing posts with label kumbu. Show all posts

September 29, 2014

KUNA MENGI NYASA. WENYEJI WANAFURAHIA MAISHA

Karibuni sana Nyasa

Mitumbwi inayotumika kuvulia samaki.

Kufurahia uzuri na mandhari ya pwani ya ziwa Nyasa

Dagaa wanapatikana kwa wiki. Ni Nyasa pekee utakutana na aina hiyo ya Dagaa.