Na Vitus Matembo,
Mbamba Bay
Huu ni mwanzo tu wa
hatua kufikia kilele. Ndugu yetu Madenge Chindogo kaanza hivi. Je wengine
tunasubiri nini, mnawekeza tu mijini eeh!. Pengezo nyingi sana ndugu yetu huyu.
MAPROFESA 27; Wilaya ya
Nyasa lakini Elimu Nyasa ni ya Mwisho. Kilosa na Chiulu ndio kumejaa maprofesa
ila elimu yake majanga tu.
JAJI mstaafu B. Samatha
tutakulilia sana ila Wanyasa hawatakusahau.
MJOMBA wangu wa damu,
Luteni Jenerali C.L.MAKAKALA unacheo kikubwa sana. Tubebe ndugu zako wakinyasa
hata Jeshini tu. Ndengele wanakulilia ulete maendeleo.
IGNATIO L. MATIMBA
KOMBA, toka Tumbi. Nakuomba uje uwekeze Nyasa kielimu. Naheshimu sana nafasi
yako ya ukaguzi kanda ya Kaskazini.
Kaka HOOPS KAMANGA,
Rudi nyumbani uinue KILIMO Nyasa.
Mama STELLA MANYANYA
kumbe ni mnyasa, usikusahau Nyasa.
HEBU TAJA WENGINE WENGI
NA UELEZE NINI WAKIFANYE NYASA!!