sina hakika kama kweli tunavifahamu hivi viti lakini kwetu tunaita HINGOLOMBI/VINGOLOMBI yaani hata wale waliodhani havina maana walianza kuibeza picha lakini nikasema poa mimi siviachi katu.Vipo vingi sana huku nyasa,nakumbuka maiaka ya nyuma tulitumi kama vijiko kwa ajili ya uji. Mambo yalikuwa bomba sana yaani nikivitazama vinanikumbusha mbali sana hata kama nina umri mdogo.
August 31, 2008
hata mkibisha lakini tunavyo hivi
sina hakika kama kweli tunavifahamu hivi viti lakini kwetu tunaita HINGOLOMBI/VINGOLOMBI yaani hata wale waliodhani havina maana walianza kuibeza picha lakini nikasema poa mimi siviachi katu.Vipo vingi sana huku nyasa,nakumbuka maiaka ya nyuma tulitumi kama vijiko kwa ajili ya uji. Mambo yalikuwa bomba sana yaani nikivitazama vinanikumbusha mbali sana hata kama nina umri mdogo.
Madhumuni
kumbukumbu,
maisha,
mila na desturi,
Nyasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
unajua hivyo vinaweza kutumika kwa kutengenezea mikanda, heleni pia hizi tunazovaa shingoni safi sana ni utamaduni.
ReplyDelete