naam ni masika katika barabara za kwenda ghuba tamu sana ya Mbamba bay. hivi unajua kila nikikanyaga mbamba bay najihisi kuzaliwa upya? kwanini-kwasababu ya sababu na nakupenda sana
September 21, 2008
hapo vipi? hapo sawa? mimi sijui
naam ni masika katika barabara za kwenda ghuba tamu sana ya Mbamba bay. hivi unajua kila nikikanyaga mbamba bay najihisi kuzaliwa upya? kwanini-kwasababu ya sababu na nakupenda sana
Madhumuni
habari,
Hisia za moyo,
lundo,
maisha,
mbamba bay,
Nyasa,
urafiki,
wageni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
hapo kazi ipo. Nilikuwa napanga nienda kumbamba bay wakati nikiwa TZ sasa basi nimeghaili maana litabaki jina tu kwa hali hiyo
ReplyDelete